Baada ya kuwatimua wenye vyeti feki, walioua ATC, waliotajwa kwenye ripoti za makinikia na katika kashifa nyingine, nao wasitishiwe pensheni na mafao

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Kama kweli tunamuogopa Mungu na ili kutenda haki, nato wito wale wato wanaotuhumiwa katika kashifa mbalimbali kama kuua/kuhujumu lilikokuwa shirika la ndege la Tanzania (ATC),vyama vya ushirika, n.k pamoja na wale waliotajwa katika ripoti za madini za hivi karibuni, wote nao wasitishiwe pension kwa waliostafu(kama wapo) na wanaotarajiwa kustaafu nao wasitishiwe mafao yao huku ambao kwa sasa ni wanasiasa wafukuzwe na ambao ni watumishi wa umma nao watimuliwe.

Kwasababu ni tuhuma, yule anaeona amronewa aende mahakamani ila serikali nayo hapo hapo imshitaki kwa uhujumu uchumi au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka.

Inasiktisha sana saa hizi watanzania wanabebeshwa mzigo wa kuifufua ATCL huku walioihujumu wakiwa wanadunda mtaani huku wakila pensheni zao alafu hapo hapo tunajisifu kwa kutimua watumishi waliokuwa na vyeti feki.

Inasikitisha zaidi kujisifu kuwa tumefukuza watumishi wenye vyeti feki na kuamua kutowapa hata kifuta machozi wakati waliotajwa kwenye ripoti za makiniakia na kashifa nyingine wakiendelea na ubunge wao huku waliikuwa watendaji wakiendelea kulipwa mishahara yao.

Mimi nasema hapa tumejitengenezea dhambi na pengine hata laana kwa mwenyezi Mungu kwa kuadhibu hawa wanyonge huku mapapa ya ufisadi yakiendelea kula mema ya nchi hii.

Na si hivyo tu, bali tumetengeneza kumbukumbu mbaya hata kwa vizazi vijayo na nio ombi langu kwa serikali ijayo iangalie uwezekano wa kuwapa walau kifuta machozi maana tumeshindwa kutenda haki hivyo nao wafikiriwe.

Ukiwaona hawa watu baadhi yao wanavyoteseka huku wahujumu uchumi na mafisadi wakiwa wanapeta, kwa hakika inaumiza sana.

Ipo siku na nyie mtawajibika tu.
 
Manaake unapendekeza na maraisi wastaafu waondolewe kinga zao, kama ndohivo kila mtu ataguswa, je alie uza nyumba za serikali kinyume na utaratibu itakua je
 
Na wao wasitishiwe pension zao iwapo wanahusika wakiwemo wale waliocheza faulu kwenye bomba la gesi na sasa tunaambulia asilimia ndogo tu huku asilimia kubwa ikichukuliwa na mabepari kama alivyosema Magu hivi karibuni.
 
Kama kweli tunamuogopa Mungu na ili kutenda haki, nato wito wale wato wanaotuhumiwa katika kashifa mbalimbali kama kuua/kuhujumu lilikokuwa shirika la ndege la Tanzania (ATC),vyama vya ushirika, n.k pamoja na wale waliotajwa katika ripoti za madini za hivi karibuni, wote nao wasitishiwe pension kwa waliostafu(kama wapo) na wanaotarajiwa kustaafu nao wasitishiwe mafao yao huku ambao kwa sasa ni wanasiasa wafukuzwe na ambao ni watumishi wa umma nao watimuliwe.

Kwasababu ni tuhuma, yule anaeona amronewa aende mahakamani ila serikali nayo hapo hapo imshitaki kwa uhujumu uchumi au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka.

Inasiktisha sana saa hizi watanzania wanabebeshwa mzigo wa kuifufua ATCL huku walioihujumu wakiwa wanadunda mtaani huku wakila pensheni zao alafu hapo hapo tunajisifu kwa kutimua watumishi waliokuwa na vyeti feki.

Inasikitisha zaidi kujisifu kuwa tumefukuza watumishi wenye vyeti feki na kuamua kutowapa hata kifuta machozi wakati waliotajwa kwenye ripoti za makiniakia na kashifa nyingine wakiendelea na ubunge wao huku waliikuwa watendaji wakiendelea kulipwa mishahara yao.

Mimi nasema hapa tumejitengenezea dhambi na pengine hata laana kwa mwenyezi Mungu kwa kuadhibu hawa wanyonge huku mapapa ya ufisadi yakiendelea kula mema ya nchi hii.

Na si hivyo tu, bali tumetengeneza kumbukumbu mbaya hata kwa vizazi vijayo na nio ombi langu kwa serikali ijayo iangalie uwezekano wa kuwapa walau kifuta machozi maana tumeshindwa kutenda haki hivyo nao wafikiriwe.

Ukiwaona hawa watu baadhi yao wanavyoteseka huku wahujumu uchumi na mafisadi wakiwa wanapeta, kwa hakika inaumiza sana.

Ipo siku na nyie mtawajibika tu.
Mmh!,kuna mantiki hapa
 
Manaake unapendekeza na maraisi wastaafu waondolewe kinga zao, kama ndohivo kila mtu ataguswa, je alie uza nyumba za serikali kinyume na utaratibu itakua je
Sawa
tapatalk_1537108743547.jpeg
 
Mleta mada wataje hao wa ATCL usiogope weka majina yao hapa tafadhali weka Na tuhuma husika utakuwa umesaidia taifa Ila isiwe majungu Hatua stahiki zitachukuliwa haraka Na wahusika wakijiridhisha Na tuhuma zako.weka usiogope.
 
Siku hizi Salary Slip anaandika majungu, hata ukimuwekea mtutu kwenye moyo hawezi kutaja jina hata moja!!!
 
Samahani nakuheshimu sikujui lakini matusi niliyotaka kumporomoshea mleta mada kama haweki majina Na ushahidi moderators wangenipa ban ya kudumu.Asante kwa ushauri umeniepusha Na ban.kifupi mleta mada babaako kichaa Na makao kichaa mimba yako ilitungwa jalalani
 
Na wao wasitishiwe pension zao iwapo wanahusika wakiwemo wale waliocheza faulu kwenye bomba la gesi na sasa tunaambulia asilimia ndogo tu huku asilimia kubwa ikichukuliwa na mabepari kama alivyosema Magu hivi karibun
Mbona kama unamuunga mkono kimoyomoyo Rais wetu?
 
Back
Top Bottom