baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 430
- 310
Naona serikali walikurupuka kupambana na wapiga dili kabla ya kujizatiti .
Mfano..sukari sasahivi 2800 hadi 3000 ,serikali inashindwa nini kuagiza sukari au kujenga kiwanda cha serikali na kuwauzia wananchi.... Kwa kufungua maduka yao kila kata.
Serikali inashindwa nini kuwekeza katika ufugaji ngombe na kujenga kiwanda cha kusindika nyama ..na hata kufungua mabucha ya serikali..
Serikali inashindwa nini kuwekeza katika uvuvi...na kuagiza boti za kisasa za uvuvi...
Kujenga mabwawa ya ufugaji wa samaki kila wilaya ...na kuuza samaki kwa wananchi..
Tujifunze kwa nchi kama singapore. .... Watu hawa wamewekeza zaidi kwenye miradi midogomidogo ambayo ajira nyingi zinakwenda kwa watu wenye elimu ndogo palepale serikali inaweza kufanya biashara ndani na nnje ya nchi...
Leo huyu huyu mpiga dili unataka ndiye akafungue viwanda ...ndiye akasupply vitu kwa watu wako....