Baada ya Kuwalisha Gombo Waumini

heee pastor..... halafu ni kama yupo na mtu mwingine hapo mbona kuna glasi mbili au yupo na mtunza hazina wa kanisa kujadili mapato na matumizi
 
heee pastor..... halafu ni kama yupo na mtu mwingine hapo mbona kuna glasi mbili au yupo na mtunza hazina wa kanisa kujadili mapato na matumizi
huyo mwingine ni mie niliyemipga picha
 
ndio maana wana sauti sana (vocal) wa siku hizi

cc Tutashindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…