Baada ya Kuwalisha Gombo Waumini

Makoye Matale atakua anajua vizuri sana maana ya gombo
 
huyu aloyemkaribisha atajuta maana mtumishi ana KIU KALI KULIKO YEYE
 
naona mfuniko wa toothpick upo pembeni tayari na nyama zimeliwa...lazima iteremke vizuri hiyo kitu
 
Hivi watumishi nao wanakunywa pombe?

Unamaanisha watumishi wapi?. Wa kipentekoste au mapadri. Mapadri na wale wa .... wanapiga gambe ka kawa. Hata mashahidi wa yehova wanapiga gambe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…