Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Wakuu JF amani iwe Nanyi.
Heading ya uzi imejitosheleza kueleza maudhui na content ya uzi.
Niko eneo la tukio tayari kabisa kuwahabarisha kinachojiri.
Wana Arusha wamehamasika na Kufarijika sana na wana Shauku kubwa kusikia kitakachosemwa na Hawa Viongozi Nguli kabisa wa Ki Taifa kutoka CHADEMA.
Kuna wengine wameenda mbali na kusema kuwa neno la hawa Viongozi ni Kama Faraja kwa Mgonjwa Hospital ama Faraja kwa Mwenye kiu Jangwani mara apatapo Maji ya Kunywa.
Ntarudi Soon hapa Jukwaani baada ya ku gather Details zote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki CHADEMA