Baada ya kusoma diploma ya nursing unaweza kujiendeleza na digrii?

Anselem mathew

Senior Member
May 17, 2017
107
66
Wakuu habari za uzima, nilikuwa napenda kuuliza hivi baada ya kumaliza diploma ya nursing unaweza kujiendeleza tena kimasomo ukifanya kazi kwa miaka hiyo miwili na je qualifications za kuendelea na degree ya nursing ni GPA ya ngapi.
 
Mkuu suala la kujiendeleza kielimu lipo wazi kama una kigezo cha kuendelea na bachelor ni fresh tu...TCU wametoa muongozo kwa wale wanaopenda kujiendeleza....Ingia website yao upate taarifa zaidi au hata NACTE pia kaangalie details​
 
BSc nursing ndio degree unayofuzu by default... Na vigezo ni GPA 3.5 not so sure huwa vinabadilika hii awamu haitabirik kabisa
 
Back
Top Bottom