Baada ya kuoa sikuacha kuchepuka, ila nilibadilisha style ya uchepukaji

Nakuunga mkono kwa hili, hata mimi sipendi kabisa wanawake tegemezi, yaani wao kazi kukaa tu na kungojea kuchuna wanaume. Bahati niliyonayo siku zote mimi ni kuhongwa tu na kwa kweli ninaringa sana, nikilalamika tu, utaona zawadi hiyo.
 
Teh teh!!mawazo tofauti tofauti ndio yanafanya hii dunia iwe kama ilivyo!wewe ukijua vya kunyonga wenzako wanajua vya kuchinja!
 
Nakuunga mkono kwa hili, hata mimi sipendi kabisa wanawake tegemezi, yaani wao kazi kukaa tu na kungojea kuchuna wanaume. Bahati niliyonayo siku zote mimi ni kuhongwa tu na kwa kweli ninaringa sana, nikilalamika tu, utaona zawadi hiyo.
Safi sna
 
Maneno mengi nikajua unachepuka kwa kuwa mkewe anazingua baadhi ya mambo kumbe tabia yako tu dah!, sasa ulioa kwa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…