Baada ya kunilalamikia sana hatimaye nimefikisha mke wangu kileleni, kidogo azimie

Mleta mada, una akili finyu kama benki iliyokaukiwa mtaji! Inabidi ufungiwe na BoT kabla hujaleta madhara kwenye uchumi wetu wa viwanda.
 
Mbona ni kama BEIRA BOY
Habari wana jukwaa, natumai hamjambo!

Mke wangu Mama Nyaiwa amekuwa akinilalamikia sana et kwann me sim'peleki kutembelea mbuga za wanyama,

Baada ya usumbufu wa mda mrefu nikaona msimu huu wa sikuu nim'tembeze nae akaone mbuga zetu,

Tulianzia Serengeti, tukaenda Ngorongoro pale oldvai na mwisho kabisa tukaupanda mlima Kilimanjaro kiukwel nanyi ndg zangu wa Tanzania tupende kutembelea vivutio vyetu

shukran ziwaendee [HASHTAG]#TANAPA[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom