Baada ya kumalizika kwa Kongamano la Bavicha Tundu Lissu kufanya Mikutano ya Hadhara Kanda ya Nyasa, Kyela nayo yakumbukwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,303
Reaction score
271,556
Baada ya kumaliza kongamano la Bavicha kesho Ruanda Nzovwe, Mbeya Mjini, Ambalo Chadema Wamegoma kulisitisha pamoja na Mkwara duni wa Polisi na kada wa ccm Francis Mutungi, Tundu Lissu atafanya Mikutano kadhaa ya hadhara kwenye Kanda hiyo.

Jambo la kufurahisha safari hii Jimbo la Kyela limekumbukwa na limepangiwa Mkutano Mkubwa wa Hadhara tarehe 15/08 (Nitakuwepo)

Ratiba kamili hii hapa

Screenshot_2024-08-11-10-19-13-1.png
 
View attachment 3066918
Singida hakumaliza lakini vpi atakuja kumalizia?🐒
 
Unaanzaje kumtishia Lissu rumande au kumpandisha court ambako ndiko ilipo ofisi yake?
 
Baada ya kumaliza kongamano la Bavicha kesho Ruanda Nzovwe, Mbeya Mjini, Ambalo Chadema Wamegoma kulisitisha pamoja na Mkwara duni wa Polisi na kada wa ccm Francis Mutungi, Tundu Lissu atafanya Mikutano kadhaa ya hadhara kwenye Kanda hiyo.

Jambo la kufurahisha safari hii Jimbo la Kyela limekumbukwa na limepangiwa Mkutano Mkubwa wa Hadhara tarehe 15/08 (Nitakuwepo)

Ratiba kamili hii hapa

View attachment 3066918
Mbowe amzuie maana atazidi kuivua nguo CHADEMA kwenye hiyo mikutano.
 
Mwambie mwanasheria lissu kuwa EPL inaanza atakosa wadau wa kumsikiliza. 😃😃😃
 
Baada ya kumaliza kongamano la Bavicha kesho Ruanda Nzovwe, Mbeya Mjini, Ambalo Chadema Wamegoma kulisitisha pamoja na Mkwara duni wa Polisi na kada wa ccm Francis Mutungi, Tundu Lissu atafanya Mikutano kadhaa ya hadhara kwenye Kanda hiyo.

Jambo la kufurahisha safari hii Jimbo la Kyela limekumbukwa na limepangiwa Mkutano Mkubwa wa Hadhara tarehe 15/08 (Nitakuwepo)

Ratiba kamili hii hapa

View attachment 3066918
Imekaa vizuri hii , nashauri iyo kanda yote ivulimishwe mikutano ,Mwenyekiti taifa Mbowe ,asogelee kule kuongeza nguvu pia , kama michango ipite ,kwa sasa fuzi zote za taa za kijani zimekata , zimebaki nyekundu Mbwai mbwai
 
Back
Top Bottom