nyau kuanzia mechi ya azam ilisha onesha udhaifu sana, badala mechi kabla ya costal alibebwa na refa, mechi ya costal refa kamaliza mchezo asifungwe bado mtu anapata nguvu ya kusema eti tuna timu kali sema tumerogwa
acheni ujinga semeni ukwel hamna timu zaidi ya mbwembwe za waandishi