Baada ya Ku Update Simu yangu imekuwa Karaha Nokia C3-00

Baada ya Ku Update Simu yangu imekuwa Karaha Nokia C3-00

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari
wanajamii forums!!
Nimea update smiu yangu NOKIA C3-00 toka V 4.‎‏ kwena V 8.7 lakini tatizo limekuaj kuwa baada ya update hiyo application nilizokuwa natumia kama OPERA MINI zote zimegoma kufunguka zinaandaika Application Error pia nikijaribu ku download zinagoma zinaandika Application Error updated na niliupdate kwa kutumia OVI NOKIA SUITE
pleaz msaada wa mwenye kujua jinsi ya kunisaidi kutatua tatizo hili!
 
yeah hata mm nlipata hilo tatizo ila nkaweza kulifix,,just repeat kuiupdate hiyo cm tena alaf ujarib zidownload hizo application tena ikiupdate vizur zitaingia na kufanya kazi ila kama bado imeingia kwa wenge bado itacrash so just try it
 
Hata mimi nime-update internet brwz ya NOKIA X2-02 imegoma fanya kaz nkiifungua inasema application conflicting. MSAADA WAKUU.
 
Back
Top Bottom