Baada ya kifo

mdesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
1,373
Reaction score
2,251
Habari wana jf, naomba mnisaidie jambo moja linalonitatiza, kila mtu kulingana na imani yake, ivi mtu ukifa inakuwaje, mafundisho mengine yanasema ukifa moja kwa moja unakutana na hukumu yako, wengime wanasema utasubiri (haijulikani sehemu) siku ya mwisho itakapotolewa hukumu kwa wote wazima na wafu. kipi ni kipi jamani tuchangie kutokana na imani au kwa uelewa wako. karibuni.
 
Mbona una haraka subiri utafika tu huko. ▶️
 
Basi jitambulishe ni wa dini gani ili uwape wepesi wachangiaji. 🐪
 
Subiri Mkuu siku Ukifika uko ndo utatutapa ripoti.
 
swali lako gumu mkuu na hauwez kupata jibu kwasabab hakuna hata mmoja aliekufa then akarudi dunian!
 
Kwa hiyo mimi kama ni Muisilamu nitakaa kando. ↪️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…