Baada ya Interview ya Erolink

Baada ya Interview ya Erolink

heeee!!kwani lile katazo la waziri kabaka liliishia wapi?!!!
 
Ipi bora kuendelea kukaa nyumbani au kufanya customer care!!!

Bora kukaa nyumbani coz hyo kazi itachukua resources zako za akili, mwili na muda,

Ukikaa nyumbani kwa malengo utatafuta tu shughuli ya kufanya ya kukuingizia kipato, hata kama ni elfu 2 kwa siku, ukiwa na malengo zaidi kipato hcho kitakua to 20,000 kwa siku then 200,000 kwa siku.

Vikwazo vitakuwa vingi sana, ila never give up coz hata kupatikana kwa uhai i.e wakati wa kujifungua ni changamoto kwa Mama mzazi na asilimia 99 husucceed coz of perseverence yao

NB: Ni pale tu unapokuwa na malengo unapokuwa nyumbani na zaidi sana kuwa na malengo na ukifanyacho

 
Back
Top Bottom