Dosalaaaaleeeee,hii dhahama haki ya nani!@napita nitarudi baada ya dk 5View attachment 161476 Ila nikipigwa Ban mtanitetea wanitoe kifungoni Sawa....
Mkuu ujaniambia kama nikipigwa Ban tupigwe wote maana siwahamini amini kama nitaachwa salama ikifunguka yote..
Mkuu mbona huyo mwenye saa mkononi yeye anaonekana kuogopa lakini huyo shosti anachekelea kulikoniHaya ngoja dakika Zangu tano ziishe!!!!
Inaweza kuwa ajiamini huyo lakini ndo hivyo mtaka cha uvunguni sharti ainame.....