Udini unaiua ccm, wanaoitetea ccm, ni masheikh wanasema serikali ya mfumo kristo lazima ipingwe. Mpinga kristo yeyote hawezi kuingia kwenye ufalme wa mbingu. Kwa ccm kukumbatia hilo anguko lao limethibitishwa na baba mbinguni. Mwalimu nyerere alitamka serikali ya tanzania haina dini. Lakini ccm ya leo inasema serikali ina mfumo kristo lazima ipingwe , basi ndiyo wajue sasa kristo ni mkombozi ataiteketeza ccm , mbele ya macho yetu. Mungu awe nasi watanzania wote atupatie viongozi waadilifu, nitafunga kwa wiki moja kutubu na kuomba msamaha kwa mungu atusamehe wana ccm kwa dhambi hiyo. Si vizuri kumkata kristo ili tutawale.