Baada ya Brexit Sasa Tanzania wachague upande ama EU ama UK/US

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Baada ya Brexit na tunajua UK ndo US na US ndo UK, basi Tanzania iachane na ule mtazamo wa NAM yatupasa kuchagua upande sahivi ili tuwe imala. Bila kuchagua upande tutakuwa vulnarable vya kutosha.
We need to swallow some of our prides na tuchukue upande, bila hivyo tutaumia, dunia ya sasa ya kibabe babe sana.

Mfano unaweza kwenda Urusi ukawaambia chimbeni uranium miaka 20 nipeni 20 S-400 defense systems.
 
US, EU na UK wako upande mmoja. UK kujitoa EU haimaanishi ni maadui au wanatofautiana sana kwenye sera za kimataifa, bado ni wamoja.
 
Ilikuwa zamani mkuu EU na US hawako kwa terms nzuri baada ya US kuwawekea sanctions EU. Mda ni mwl mzuri utaongea wenyewe utaona
 
Sisi china inatutosha
Baada ya Brexit na tunajua UK ndo US na US ndo UK, basi Tanzania iachane na ule mtazamo wa NAM yatupasa kuchagua upande sahivi ili tuwe imala. Bila kuchagua upande tutakuwa vulnarable vya kutosha.
We need to swallow some of our prides na tuchukue upande, bila hivyo tutaumia, dunia ya sasa ya kibabe babe sana.

Mfano unaweza kwenda Urusi ukawaambia chimbeni uranium miaka 20 nipeni 20 S-400 defense systems.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ichague upande watulize kichwa tusipaparuke kujibishana na wababe wa dunia.
 
Back
Top Bottom