BVR 2015 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 447 Reaction score 985 Aug 10, 2016 #1 Baa ya white Inn iliyopo sinza karibu na hotel ya defrance inaungua moto sasa hivi
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,026 Aug 10, 2016 #2 BVR 2015 said: Baa ya white Inn iliyopo sinza karibu na hotel ya defrance inaungua moto sasa hivi Click to expand... Chanzo cha moto ni nini?
BVR 2015 said: Baa ya white Inn iliyopo sinza karibu na hotel ya defrance inaungua moto sasa hivi Click to expand... Chanzo cha moto ni nini?
kumbombakiki Member Joined Aug 11, 2013 Posts 26 Reaction score 22 Aug 10, 2016 #3 Naomba nikurekebishe mkuu BVR 2015 ni carribean inayotazamana na shikamoo pub mbele kidogo ya kituo cha dala dala whiteinn
Naomba nikurekebishe mkuu BVR 2015 ni carribean inayotazamana na shikamoo pub mbele kidogo ya kituo cha dala dala whiteinn
S sily JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 926 Reaction score 578 Aug 10, 2016 #4 Vipi hali ya walevi wamenusurika?
mpepai JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 559 Reaction score 375 Aug 10, 2016 #5 unaulizia chanzo cha moto sinza hizo zitakua ni dhambi tu zimezidi Mungu kaona azipunguze huku huku pale ni ficho kubwa la uhalifu wa kijinsia
unaulizia chanzo cha moto sinza hizo zitakua ni dhambi tu zimezidi Mungu kaona azipunguze huku huku pale ni ficho kubwa la uhalifu wa kijinsia
Sanoyet JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 1,323 Reaction score 295 Aug 10, 2016 #6 daaah! so sad!! Walevi wenzangu wana hali gani huko??
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,026 Aug 11, 2016 #7 mpepai said: unaulizia chanzo cha moto sinza hizo zitakua ni dhambi tu zimezidi Mungu kaona azipunguze huku huku pale ni ficho kubwa la uhalifu wa kijinsia Click to expand... Isije ikawa mnaoishi huko uliko ndo mnakwenda kufanyia dhambi zenu Sinza
mpepai said: unaulizia chanzo cha moto sinza hizo zitakua ni dhambi tu zimezidi Mungu kaona azipunguze huku huku pale ni ficho kubwa la uhalifu wa kijinsia Click to expand... Isije ikawa mnaoishi huko uliko ndo mnakwenda kufanyia dhambi zenu Sinza