lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,382
Wahovyo hovyoA
lafu huyu ni mwalimu sasa
Wahovyo hovyoA
lafu huyu ni mwalimu sasa
Acha kupotosha. Vipimo siyo sahihi una vijua? Unajua principle zake!? Ulisha performed any HIV test? Unafata mkumbo?Hakuna ugonjwa wa UKIMWI kama lilivyo neno lenyewe Upungufu wa Kinga Mwilini (AIDS).
Kinga ya mwili ikipungua, mwili hushambuliwa na vidudu mbalimbali za magonjwa. Kinga ya mwili hupungua kwa sababu mbalimbali lakini siyo K
kwa kirusi cha HIV, kama tunavyoaminishwa na wanasayansi, ambao mpaka kesho wanabishana. Hata vipimo vinavyotumika kupima kuwepo na HIV katika mwili wa binadamu si vya uhakika. Pia, imethibitishwa kuwa si kila mwenye HIV kinga ya mwili wake hupungua na kusababisha hicho kinachoitwa UKIMWI (AIDS).
Acha upotoshajiHakuna ugonjwa wa UKIMWI kama lilivyo neno lenyewe Upungufu wa Kinga Mwilini (AIDS).
Kinga ya mwili ikipungua, mwili hushambuliwa na vidudu mbalimbali za magonjwa. Kinga ya mwili hupungua kwa sababu mbalimbali lakini siyo K
kwa kirusi cha HIV, kama tunavyoaminishwa na wanasayansi, ambao mpaka kesho wanabishana. Hata vipimo vinavyotumika kupima kuwepo na HIV katika mwili wa binadamu si vya uhakika. Pia, imethibitishwa kuwa si kila mwenye HIV kinga ya mwili wake hupungua na kusababisha hicho kinachoitwa UKIMWI (AIDS).
Umemalizia vzuri sana mkuu japo umeanza na kum.tu.kana vileKisandu huyu ni mgonjwa akili wamesema inatiba ugonjwa fulani kwa carriers wa HIV na sio kama inatibu Ukimwi !!
Psychopathic JF utoeni huu uzi mtapata lawama na institutions zinazohusika statement ya kwenye prescription iko explicit
Hongera kwa uchunguzi wako.Lakini hivi Vidonge vya ( Azithromycin) havitibu Ukimwi. Vidonge vya (Azithromycin)Vinatibu bacterial infections sio Virus.inatibu vyote mpaka UKIMWI, nimekwisha jaribisha kwa wagonjwa wengi tu na wamepona.
Hata usipoweka umakini deo ni tahiraHuyu jamaa ukifuatilia posts/threads zake nyingi anazotupia humu...ukiweka umakin unaweza kujua kuwa ana tatizo kubwa sana la akili.
Kweli kabisa!!Huyu jamaa anatakiwa asaidiwe. Nashauri ukoo wafanye kikao wachange apelekwe mirembe akachekiwe
Leo tena we ni daktari?walikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
Especially tuberculosis aka TB ambayo ni adui mkubwa kwa watu wenye HIV so inakuwa inawapa kinga dhidi ya magonjwa nyemelezi kama ya Bacteria....Mkuu tatizo lako nafikiri ni lugha, Azuma ni azithromycin ambayo ni antibiotics kazi yake sio kutibu hiv bali inatibu magonjwa yaani infections zinazowasumbua watu wenye upungufu wa kinga mwilini