Nimekuwa na host Web services (kama sehemu ya website) zetu kupitia Web Hosting Company kama vile godaddy, etc
Web services hizi huwa zinatumiwa na mobile apps zetu ku-access data kutoka kwenye database zetu.
Nilichogundua ni kwamba kumekuwepo na matatizo ya performance hasa speed(ya ku-load data kutoka kwenye server) n.k kutoka kwa watumiaji wa apps zetu.
Nimejaribu ku-deploy baadhi ya API(Web service) kwenye Azure(Trial Account), nimeona speed (ya ku-load data kutoka kwenye server) imekuwa nzuri sana.
Kwa wale wenye experience na hizi mambo, naombeni maoni yenu kuhusu Azure na Amazon Lambda.