Niseme ukwel sikua namuamin Gamondi at all ,ni hiv karibuni tu. Na hii ilikua inanifanya nisione hata cha maana anachofanya Yanga. But now, hapana, Yanga wanapiga mpira bwanaa. Yan huyu Ki huyu hakyanani kuna mambo mengi sana inaonekana bado ameyahifadhi anayatoa taratibu taratibu na ofcz yes, bwana
LIKUD , kuondoka kwa mayele ndio kumezid kumfanya Ki halisi aonekana katika uhalisia wake.
Ki mtu bwana