Mkorofi sana, anapenda kuzira, muongomuongo yaani perepete nyingiHaupo peke ako Mkuu, yani mtu upo kwenye mahusiano lakn unaona hayaeleweki eleweki, unaazimia kumpiga chini lakini baada ya siku mbili unanitafuta tena,
Unaweza uwe na mpenzi lakn kila mara ujihic upo peke ako.
Labda Mkuu twambie huyo bidada tatizo ni nini hasa?
Mkorofi sana, anapenda kuzira, muongomuongo yaani perepete nyingi
Ni wew huyo kwa DpNaona mambo ya new year new me yameanza
Mwaka utakuwa unakumbika style yoyote kweli?Unaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako
YesNi wew huyo kwa Dp
Nikweli eti, ngoja nijaribu tena ila nilijaribu kufanya hivyo ila nilijihisi kuchizi aisee yaani natamani sana niishi angalau mwaka mmoja bila zinaa yaani hata kichwani nisiwaze kabisa hata miaka miwili hiviUnaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako
Mwaka utakuwa unakumbika style yoyote kweli?
Nikweli eti, ngoja nijaribu tena ila nilijaribu kufanya hivyo ila nilijihisi kuchizi aisee yaani natamani sana niishi angalau mwaka mmoja bila zinaa yaani hata kichwani nisiwaze kabisa hata miaka miwili hivi
Ni hatari mno ngono zembe Hu attract negative energy kiasi kwamba ukija taka kutulia unashindwa.unahangaika wee faida huoniKwakweli aisee basi tu yaani unakuwa unaishi ovyoovyo2 ukikaa ukijichunguza faida uioni zaidi yamigogoro
Cariha hivi punyeto siinaweza nisaidia endapo kama nikishindwa kuacha zinaa maana ndio naona kwasasa nibora kuliko kuwa kwenye mahusiano yasiyo nakichwa wala miguuInawezekana kabisa kabla ya Kujua huo mchezo mbona uli survive vzuri tu. Toa hayo mawazo kichwani ingekuwa ngono ukikosa unakufa ka chakula ningekushauri, bora punyeto
Cariha hivi punyeto siinaweza nisaidia endapo kama nikishindwa kuacha zinaa maana ndio naona kwasasa nibora kuliko kuwa kwenye mahusiano yasiyo nakichwa wala miguu