Azam yatolewa 2-0

Azam yatolewa 2-0

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,284
Reaction score
4,651
Timu ya Azam imefungwa magoli mawili kwa moja. Source mchezaji wa Azam nimempigia cm.
 
magoli ni 2-0, hivyo wametolewa kwa 2-1 nasahihisha keyboard
 
Ni habari mbaya kabisa katika medani ya soka TZ.Ukizingatia tuna jinamizi la wamisri hapo machi 2014!!
 
Nikweli Azam fc imetolewa ktk michuano ya Caf confederation cup natimu ya Ferroviário de Beira kwaidadi ya magoli 2-1. Kwa Matokeo hayo timu ya Azam fc itabidi ichungulie kwa nje tu michuano hiyo. Lakini wakubwa walisema "Kuchanika kwa janvi..................................."
 
So sad! Kulinda goli moja ugenini si kazi rahisi
 
Timu ya Azam imefungwa magoli mawili kwa moja. Source mchezaji wa Azam nimempigia cm.

Pole kwa Azam fans.
Warudi tu waje tusaidiane kuuza juice na maji ya uhai.
 
soka letu ni la kimajungu majungu.
ndio maana tukitokeza pua tu tunapigwa nakozzzz.
 
Malinzi na jeshi lake lazima jambo kama hili walipe uzito wake! Ligi gani hii inayotoa timu 'dhaifu' ambazo zikigusa tu zinatupwa nje! Au zikijitahidi sana zinafurukuta kwa timu za nchi kama Somalia, Eritrea, Comoro etc! Lazima kutafuta mbinu ya kuifanya kuwa ligi yenye ushindani na sio ligi ya Simba, Yanga na Azam.
 
Tuna kazi kubwa mbele yetu ili kufikia mafanikio tunayoyataka
 
si walisema wamenunua basi kama la manchester au real madrid mimi nikajua hawatafungwa kumbe wamefungwa
 
si walisema wamenunua basi kama la manchester au real madrid mimi nikajua hawatafungwa kumbe wamefungwa

Harafu nao wameanza kamchezo ka kuweka waamuzi au wachezaji wa timu pinzani hapa bongo. Wakitoka nje inakuwa ngumu inabidi mpira uitwe mpira.
Si wao tu hata hawa wazee wakubwa ndio zao. Timu itakayo ondokana na ka mchezo hako ndio itafanikiwa kimataifa
 
...Yanga kweli wana kazi kubwa kwa MAFILAUNI..!

La sivyo wayakodishe Madume yao ya Mtani Jembe, maana yenyewe ndiyo pekee yanayoufahamu mzimu wa waarabu. Vinginevyo.........tuandike maumivu mapemaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom