Azam wanao andaa vipindi wanafeli sana

Aiseee..... Wabongo nuksi...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujalazimishwa kuangalia tena kumbuka hiyo ni televion binafsi.Wewe ukitaka ubora sana nenda DSTV.utakula kulingana na urefu wa kamba yako
 
siyo kulazimishwa ishu ni Kwamba huwezi kulipia kila king'amuzi maana muhimu ni ubora sivyo kujaza kila king'amuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…