Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Wazee WA Simba na Yanga hawajaiona hii thread!
Na mimi nilijua anaongelea zao la Azam Academy.Nilidhani unazungumzia wachezaji ambao ni product kutoka Azam Academy ?
Tutajie wangapi waliotoka kwenye academy
Uko sawa kwenye hiyo list ni wachezaji wachache sana wametokea kwenye academy ya AzamNa mimi nilijua anaongelea zao la Azam Academy.
Kama kumbukumbu zangu hazipo sawa, basi naomba nirekebishwe.
Nilianza kumsikia Erasto Nyoni kitambo sana. Kipindi hicho alitokea Academy ipo Arusha kitu kama Rolingston au Livingstone. Akaenda APR ya Rwanda.
Alicheza azam akiwa tayari ameimarika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo. Kwa msuya nacheka kingereza et wakamtosaUko sawa kwenye hiyo list ni wachezaji wachache sana wametokea kwenye academy ya Azam
Erasto Nyoni
Aggrey Morris
John Bocco
na wengine wengi hawajatoka academy Azam na Msuva alienda kufanya majaribio Azam wakamtosa
Azam waheshimiwe, halafu tuachaneni na uyanga na usimba tumpe sapoti Azam fc.
wadau wa timu za Kariakoo hawapendi!