Azam wana timu nzuri sana ya propaganda mitandaoni kuliko mikakati ya kuchukua makombe

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,298
3,972
Timu hii mwaka jana ilisifiwa sana kiasi kwamba wengine tulidhani itafika mbali sana.Ukweli walichojitahidi tu ni kuondoa unyonge wao dhidi ya Simba.Na hapa tuliona kocha aliyekuwa na mapenzi na yanga akifanya kila liwezekanalo kuifunga Simba na kuwalegezea yanga ili asaidie kutengeneza historia nzuri ya timu anayoipenda na sio kazi yake.

Azam mnapaswa kuweka mikakati ya kubeba makombe na siyo proganda hizi tunazosikia mara ooh wameng'oa chuma Raja wakati ni mchezaji hata hakupewa nafasi kubwa pale Raja.
 
Kalimangonga ongala siku zake zote pale Azam alihakikisha Yanga inapata ushindi..... acha wamfagilie mbali kabisa hafai kabisa....
 
You ger it ifyu u don ger it foger abour it 😁😁😁😁😁
 
Kally ndio wanacheza uwanjani? hivi huwa mnatumia vijambio kufikiri?
Pumbavu sana wewe,hujui nafasi ya kocha kwenye mechi,yete ndio anapanga team,tactics na technics za kushinda game sasa unashangaa nini,kwa nini team ikifungwa analaumiwa kocha sio wachezaji,huna akili na mpira umeujulia ukubwani
 
πš„πš”πš˜πšŒπš‘πšŠ πš—πš’ πšπšŠπšŠπš•πšžπš–πšŠ πš”πšŠπš–πšŠ πšžπš™πš˜
πšπšŠπš’πšŠπš›πš’ πš”πšžπš‘πšŠπš›πš’πš‹πšž πš”πšŠπš£πš’ πš”πš πšŠ πš–πšŠπš‘πšŠπš‹πšŠ 𝚠𝚎𝚠𝚎 πš—πš’ πš–πš™πšžπš–πš‹πšŠπšŸπšž 𝚠𝚊 πš”πš πšŠπš—πš£πšŠ
 
Timu hii mwaka jana ilisifiwa sana kiasi kwamba wengine tulidhani itafika mbali sana.Ukweli walichojitahidi tu ni kuondoa unyonge wao dhidi ya Simba.Na hapa tuliona kocha aliyekuwa na mapenzi na yanga akifanya kila liwezekanalo kuifunga Simba na kuwalegezea yanga ili asaidie kutengeneza historia nzuri ya timu anayoipenda na sio kazi yake.

Azam mnapaswa kuweka mikakati ya kubeba makombe na siyo proganda hizi tunazosikia mara ooh wameng'oa chuma Raja wakati ni mchezaji hata hakupewa nafasi kubwa pale Raja.
azam hawewezi kuchukua mataji mpaka wajivue usimba
 
Back
Top Bottom