Jamani shida leseni indaiwa pay tv haziruhusiwi local Chanel sifahamu ukweli ni upi jamani tusaidine.Tunalipia pesa nyingi ila tunaona channel chache,kwanini hamtaki kufanya utaratibu wa kuturudishia channel za nyumbani na pia muongeze channel za movie,music,wrestling badilikeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliuonyeshe taarifa ya habari TV inabidi iwe imesajiriwa nchini je usajiri ukoje kwa hio Chanel?
Unafikiri chombo gani ambacho wewe ni kizuri kwako hukipati?Azam tangu mumesitisha kuleta news tunateseka, hawa wakina ITV,TBC na CHANEL10 habari zao hazina mashiko, propaganda nyingi mnoo. Tafadhali tuwekeeni news tuchekelee [emoji16][emoji16][emoji4]
Sawa,basi azam asajiri Chanel mojawapo iwe na leseni kama startv ili nawe uipate kinyume chake kwa sasa ni ngumu labda sheria zibadirike au nunua kisimbuzi chenye local Chanel ule maishaAzam na star tv...wengine wakasome
Nasikia wakati wakuhamia digital kulikua za zabuni ya wadau wakurusha maadhui(wenye visimbuzi) ya nchini(local) na paytv kwahio walioshinda ni star times, digitek,ting na continental, pia sheria inataka vituo vya TV vyenye leseni ya nchi mtazamaji apate bure asilipie, kwahio visimbuzi vya kulipia havina ruksa kwa sasa zaidi ya TV ya taifa tu au wao waonyeshe Chanel za kulipia tu nilisikia hivyo kaka hebu tuelimishane kama nimekosea kwani nilisikia hivyoHivi kwani azam alipoanzisha programu zake alikuwa ajui sheria za nchi au ndio ilikuwa shamba LA bibi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie mamlaka husika wabadilishe sera zao zinazowabana azam vinginevyo nunua startimes au angalia TBC.Mnafikiri wadau hili suala liweje kisheria ili wote tufaidi Chanel kwenye visimbuzi vyetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie mamlaka husika wabadilishe sera zao zinazowabana azam vinginevyo nunua startimes au angalia TBC.
Sawa,basi azam asajiri Chanel mojawapo iwe na leseni kama startv ili nawe uipate kinyume chake kwa sasa ni ngumu labda sheria zibadirike au nunua kisimbuzi chenye local Chanel ule maisha
Sent using Jamii Forums mobile app