Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,491
Si ndio hapoNinunue Azam Tv 180k kwa kipi kizuri? Wakati hapo naweza kupata Startimes + Dstv na cheji inabaki.
Ninunue Azam Tv 180k kwa kipi kizuri? Wakati hapo naweza kupata Startimes + Dstv na cheji inabaki.
Kisimbuzi cha anntena vinatumia network minara sio kwamba ni vibaya, ila hivi vinatumika palipo na network yao tu.
Hata startimes wanavyo vya antenna tunatumia vizuri tuu bila shida,
Startimes wanaonesha lig ya bongo?
Kwani wameshaanza kuviuza hivyo vya antennaLeo nilikua na brother tumetafuta sana azam king’amuzi tumefeli kupata dish lakin zipo antenna. Tumezunguka sana mpaka tukaenda kariakoo tukakutana na mawakala wa azam wanakwambia dish unapata kwa 180,000 kwasababu dish sahv ni adimu wanauza mzigo wa store tu, antena hazifanyi vizuri sokoni hvo mpaka stock ya antena iishe ndo dish zitoke.
Wadau hawajazikubali antenna zimefeli sokoni hivyo wanaforce kuuza kwa nguvu, ikabidi tulipe 180k tupewe dish. Kwa dizaini hii azam wanazingua sana waliletaje antenna bila fanya research kwanza?? Na sisi tulitaka azam kwaajili ya kupata local channels na ligi ya bongo bhs.
natamani mwenye majibu anielimishe na mimiIvi decoder za antenna na izi za dish za azam tofaut yake kubwa ni nini kiubora
Tofauti kua dishi ni satellite Kwahiyo utaweza kupata matangazo hata ukiwa mapolin huko, lakin kwa antenna mpaka kuwe na minara ambayo imefungwa ila kwa ubora kama sehemu uliyopo kuna minara basi chukua antenna maan hata kuwe na mvua, upepo ngoma inapeta kama kawaida na vyote vinatumia hdmi Kwahiyo ubora wa picha ni uleule the same kwenye dishinatamani mwenye majibu anielimishe na mimi
ahsante sana mkuu nimekusomaTofauti kua dishi ni satellite Kwahiyo utaweza kupata matangazo hata ukiwa mapolin huko, lakin kwa antenna mpaka kuwe na minara ambayo imefungwa ila kwa ubora kama sehemu uliyopo kuna minara basi chukua antenna maan hata kuwe na mvua, upepo ngoma inapeta kama kawaida na vyote vinatumia hdmi Kwahiyo ubora wa picha ni uleule the same kwenye dishi
Nunua dish la kampuni nyingine ila decoder ununue ya azam. Tafuta fundi siyo lazima ununue dish la azamLeo nilikua na brother tumetafuta sana azam king’amuzi tumefeli kupata dish lakin zipo antenna. Tumezunguka sana mpaka tukaenda kariakoo tukakutana na mawakala wa azam wanakwambia dish unapata kwa 180,000 kwasababu dish sahv ni adimu wanauza mzigo wa store tu, antena hazifanyi vizuri sokoni hvo mpaka stock ya antena iishe ndo dish zitoke.
Wadau hawajazikubali antenna zimefeli sokoni hivyo wanaforce kuuza kwa nguvu, ikabidi tulipe 180k tupewe dish. Kwa dizaini hii azam wanazingua sana waliletaje antenna bila fanya research kwanza?? Na sisi tulitaka azam kwaajili ya kupata local channels na ligi ya bongo bhs.
Vipi ndg loko chaneli ni bure kwa hawa jamaaKisimbuzi cha anntena vinatumia network minara sio kwamba ni vibaya, ila hivi vinatumika palipo na network yao tu.
Hata startimes wanavyo vya antenna tunatumia vizuri tuu bila shida,
What is 'ndg'?Vipi ndg loko chaneli ni bure kwa hawa jamaa
Nunua dish la kampuni nyingine ila decoder ununue ya azam. Tafuta fundi siyo lazima ununue dish la azam