fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,239
Nyie azam tv mnatia aibu huyu dada wa kiarabu anaitwa aziza shecky anayetangaza taarifa ya habari hivi sasa,hawezi kutangaza vizuri kwenye r anaweka l na huyo anayeandika maneno anaandika wakandalasi serikali anaandika seriakali.Nyie vipi mwenzenu anawekeza anawapa kazi nyie mnaboronga.Mbarawa anamuita mbalawa
Last edited: