Grader JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 445 Reaction score 65 Feb 27, 2015 #1 Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga
aye JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 2,102 Reaction score 712 Feb 27, 2015 #2 Nashangaa matangazo tu wanatuekea
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,977 Reaction score 10,075 Feb 27, 2015 #3 Grader said: Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga Click to expand... Yanga wameishapigwa au?
Grader said: Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga Click to expand... Yanga wameishapigwa au?
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 Feb 27, 2015 #4 Kimbunga said: Yanga wameishapigwa au? Click to expand... Mbona unawaombea mabaya...Utaifa kwanza bhana...
Kimbunga said: Yanga wameishapigwa au? Click to expand... Mbona unawaombea mabaya...Utaifa kwanza bhana...
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,977 Reaction score 10,075 Feb 27, 2015 #5 muhomakilo jr said: Mbona unawaombea mabaya...Utaifa kwanza bhana... Click to expand... Haloooo hapa huwa utaifa unanishinda kusema kweli! Nisiomgope nitapata dhambi bureee
muhomakilo jr said: Mbona unawaombea mabaya...Utaifa kwanza bhana... Click to expand... Haloooo hapa huwa utaifa unanishinda kusema kweli! Nisiomgope nitapata dhambi bureee
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 Feb 28, 2015 #6 Ha ha ha mkuu bhana.by the way,kandambili kapita,anaingia round ya pili...wale Wabotshwana urojo tu..
Ha ha ha mkuu bhana.by the way,kandambili kapita,anaingia round ya pili...wale Wabotshwana urojo tu..
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,234 Feb 28, 2015 #7 Yanga waligomea na bado wamegomea mkataba wa Azam...kwa hio Azam hawawezi kurusha mechi yao Za ligi kuu hua wanarusha kwa sababu ya timu inayoshindana na yanga.....ndicho ninachokijua
Yanga waligomea na bado wamegomea mkataba wa Azam...kwa hio Azam hawawezi kurusha mechi yao Za ligi kuu hua wanarusha kwa sababu ya timu inayoshindana na yanga.....ndicho ninachokijua
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,272 Feb 28, 2015 #8 Grader said: Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga Click to expand... Hivi nyie mlikuwa mnaangalia Azam ipi? Mimi nimeangalia kipindi cha kwanza chote kupitia Azam two na ilikuwa inaonekana vizuri tu.
Grader said: Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga Click to expand... Hivi nyie mlikuwa mnaangalia Azam ipi? Mimi nimeangalia kipindi cha kwanza chote kupitia Azam two na ilikuwa inaonekana vizuri tu.