Habari wadau.. Fundi ninae mtegemea kasafiri na dish langu lilicheza kidogo, Nimejaribu kuliweka sawa ila signal napata intensity 80% na signal 45%, kuna Baadhi ya channel chache hazioneshi na zingine Zote zipo vizuri na hazigandi, sasa kuna jamaa Kaja ananambia Itakua ni wire, ila kabla sijanunua Huo wire naomba wajuzi mnishauri..Asanteni
Sent using
Jamii Forums mobile app