Azam TV "on line" vipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Wakuu,

Kunani Azam TV "on line" maana haipatikani kabisa kwa sasa.
 
Oh ni Azam TV wakuu. Mambo ya "keyboard" wakati mwingine!
 
Aksante mods kwa edit.
 
Heh! Hakuna anaefahamu tatizo ni nini? Siamini wakuu.
 
Wapuuzi wanasema leo wana app mpya kabisa naitafuta kwa play store siioni![emoji24]
 
Azam hawako serious kabisa wanafanya mambo kimazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…