Azam tv na nembo ya live

Tyupa

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
802
Reaction score
657
Tunaangalia mpira kombe la mapinduzi Zanzibar saa hizi saa kumi na nusu lakini wakati mpira unaendelea baadhi wakadai kuwa huo mpira ni zamani kwa sababu hakuna alama ya live.Kwa wale wanaofuatilia ratiba wakasema ni live ila tu Azam tv wao hawapendi hilo neno liwepo.

Sasa Azam kama wao hawapendi kwa nini wasifuate wateja wanavyotaka?TV zote duniani zinapotangaza jambo jipya hasa mpira neno live ni muhimu kwa sababu linamwezesha anaeangalia ajue kuwa ni habari ya zamani au mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Hilo suala hata mm linaniachaga Hoi,cha ajabu ukiangalia ligi ya Spain kuna neno live,Ila ligi ya bongo hawaweki mpaka wajisikie,hawajui effect ya kitu kidogo inawezaje kuuaribu quality ya product!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…