Azam TV na marudio sinema zetu

Azam TV na marudio sinema zetu

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
4,911
Reaction score
3,084
Naomba kuuliza hivi hii chaneli yenu ya sinema zetu kurudia rudia kila siku mikanda hiyo hiyo hivi hakuna mingine? Au maana nishawachoka nimeamua leo niulize hilo.

Wahusika Naomba majibu
 
Sio rahisi sana kupata vipindi vipya kwenye tv na izidi programmer awe kilaza ndo kabisaa,hilo ni tatizo kwa tv nyingi hata za majuu check baadhi ya channels utaona pgms zinarudiwa sana,...ushauri..nenda kanunue hizo bongo movie uangaliege mwenyewe Bila marudio
 
penda kusoma vitabu vingi vya riwaya.,ndo utagundua hakuna haja ya kugombana nao hao azam TV ktk hilo..ukiwa msomaj wa riwaya mwanzo wa movie yoyote ya bongo utakufanya ujue mwisho...ni ushauri tu,..
 
wewe kwani lazima utune chane moja tu ya cinema zetu??

ebu jaribu chanel za discovery science au discovery ID
 
wanaboa kweli, kila siku movie ni zile zile,hasa za vichekesho, mara "4twins ni shidaa", mara "masafa marefu" mara "wapigaji" yaani ni hizo hizo mpaka wanaudhi
 
Hivi wapo hawazireje mara kwa mara.
Ukimweza Dstv ni bora zaidi.Lakini kama una vihela vyako vya upatu kama mie,bora kuwa mpole ukubali matokeo
 
Sasa Azam TV wanakazana kuchukua watangazaji tu toka TV channel zingine , lakini hawataki kuboresha vipindi ili viendane na ubora wa studio na watangazaji walionao. SHAME
 
Si mnunue dstv ela ndogo tu.

kwa mtazamo wako unaona kuwa watu wanashindwa kununua dstv?!!! tatizo ni malipo yake ya mwezi, hasa kwa wapenzi wa mipira, hata wauze tsh. 20000,bado shida ipo tu, laki na 60,mshahara wa mtu huo.
 
kwa mtazamo wako unaona kuwa watu wanashindwa kununua dstv?!!! tatizo ni malipo yake ya mwezi, hasa kwa wapenzi wa mipira, hata wauze tsh. 20000,bado shida ipo tu, laki na 60,mshahara wa mtu huo.

Sasa kama hawashindwi kwanin wasinunue?
Lipa kifurushi cha less than thirty thousand ucheki recorded matches kama humudu premium na wala sio vyote vinavyoonesha matches live ni ghali kama unavyosema.
 
Back
Top Bottom