Azam TV muwe waangalifu

Azam TV muwe waangalifu

Funge

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
581
Reaction score
167
Hawa wajamaa wanatabia ya kuja na programme guide or programme lineup tofauti na ile inayotokana na channel wanazoonyesha. Kwa hiyo mara nyingi wanachanganya watazamaji wao kwani kinachoonyeshwa hakina uhusiano na kilicho andikwa.
 
pia vig'hamuzi vyao vinazingua sana wakati wa nvua sijui hawajaliona hili maana ni kero sana embu jipangeni vizuri kutatua hilo
 
didnt notice about program maana mi nikiwa mbele ya telly ni flick,flick natafuta interesting chanel to watch mpaka usingizi unipate ,ila la mvua kweli sana na masika yakiingia sijui itakuwaje!
 
Back
Top Bottom