Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
baada ya kushinda tenda ya kuonesha ligi kuu tanzania..baada ya kuishinda super sports ya afrika kusini
kila timu kupewa mil 100....
NB:kumbe azam tv wako vzr zaidi ya super sports..?
kwa maana ya wataalaam. na vifaaa
je tenda ilikua wazi kiasi gani?
source..the citezen today
ligi ya bongo haina mvuto.
labla zinapokutana tim kubwa lakin za wenze2 inapokutana tim kubwa kwa ndogo zote zina mwamko.
Mmmh!! nina mchanganyiko wa furaha na huzuni kwa hii habari...
Huzuni...
Wachezaji wetu watakuwa wamekosa fursa ya kuonekana nje ya nchi (Hapa nimeandika nikiwa na hisia kuwa coverage ya Azam TV haitakuwa hadi nje ya mipaka ya TZ).
Furaha...
Kama Azam TV ndio wataopewa shavu, basi ligi hii kwa kiasi kikubwa itaweza kuonekana kwa Watanzania wote kwa unafuu zaidi.
hahahahahaha..hawa hata mechi za dar zilikua zinawashindaMcheza kwao hutunzwa, wanatucheelwesha tu, kwani hata mwaka Juzi na Jana, Star TV waliishinda hiyo Supersport, lakini walichokifanya Star Tv ni aibu tupu.
Huyo amekata tamaa aisee maana mtu huanza kutambaa kisha anasimama dede then anakimbia, hilo si tatizo la Tz peke yetu bali ni la ukanda mzima ila soon mambo yatakuwa mazuri kwa kuwa Uganda sasa hivi kisoka wako juu ya Tz na Kenye pia wenzetu Kenya wameanza kupeleka wachezaji ulaya hivyo kwa kuwa tunatoka ukanda mmoja tuna imani tutaambukizwa soka la ulaya mwisho wa siku kiwango kitaongezekahujui mpira na uzalendo pia huna!
Wao walianzaje?au walizaliwa wanatembea?
Mimi hadi game ya mchangani natazama,tena nasubiri kuona Ashanti,Mbeya city na Rhino wakitoa upinzani ktk azamtv
Hivi Azam TV imeshaanza kurusha matangazo yake ama bado iko kwenye mchakato wa kuanzishwa (kwenye makaratasi)?
Bakhresa chagua Moja Mpira au Ice cream wacha kutuzingua
azam tv inarusha kipindi chake kupitia channel 10 mkuu