Azam TV kulikoni?

Azam TV kulikoni?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
23,255
Reaction score
28,414
Mwezi wa tisa AZAM TV mlitutangazia kuwa mnaboresha upatikanaji wa matangazo baada ya kuona kila mvua inyeshapo matangazo hukatikakatika hivyo mnahama kutoka masafa ya zamani kuna ya sasa.

Hata hivyo, tatizo bado liko vilevile. Kulikoni?

Information
No or bad signal

Walichoweza ni chanel zote isipokuwa utv na extra kuwa HD basi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom