deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Hatimae taarifa ya habari inarejea Azam tvView attachment 1125549
Hiyo ni FTA, local channels may be ndio muda sasa wa kurudisha local channelsUtv ni yanani? Jee ni local au pay TV? Kwenye star times sijaiona?
Filamu ya sultan inapromote uislamu au hulijui hiloTupe mfano wa huo udini uliouona.
Njia ya muongo ni fupi.
Ili mjione mlivyokua wapumbavu.
Yupo nguli Tido Mhando pamoja na kuwa mnamsakama na makesi ya kubambikia ili a loose focus...Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa
Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na
Udini unaimaliza azam
Wameondoa lini? Unalipa kifurushi cha sh ngapi?Wala sio promo, mie nilikuwa napenda mbc 2, mbc action na mbc max kwa sasa hizo zote na zingine nzuri wameoondoa, halafu gharama bado ziko juu. Huu ni mwezi wa mwisho kulipa ntabaki na dstv tu.
Hiyo ni FTA, local channels may be ndio muda sasa wa kurudisha local channels
Tupe maufundi malipo yakoje hasa? Tofauti ya Malawi na bongo visimbuzi vikoje haswa na mnanunua wapi ni tsh ngapi tuchangamkie?Mchongo ni kutumia azam ya Malawi burudan zote unapata mixer local channel zote
Mkuu nataka ninunue Dstv kwa kweli,hii azam udini tu Hamna lolote, na pia hakuna kitu nisichokipenda kama tamithiliya za kutafasiliwa na movie za kutafasiiwa aisee, yaan ni kero na zinapoteza ladha, bongo movie zenyewe naona za waislamu tuu akina kipupwe, so sad kwa kweli,....Mkuu ukitaka machaneli ya muziki nunua zuku ukitaka documentary channels nunua DSTV na Zuku ukitaka filamu za kihindi nunua Startimes ukitaka filamu za mapigano na zinazokwenda na wakati nunua DSTV ukitaka Michezo nunua Azam na DSTV sasa chaguo ni lako
Basi tayari keshapoteza mwelekeo!! Azam ni kampuni ya kitanzania,ila kwenye tv yao kuna chaneli 12 za kenya(hadi za kikabila) kuna 8 za Uganda, 6 za Rwanda,2 za Zanzibar, 2 za somalia,2 za malawi,2 za Angola! Ila za Tanzania ni 2 za serikali na 4 za kwao wenyewe! Chaneli za nje zilizokuwa na unafuu(nzuri kiasi) wameondoa zote! Chaneli za watoto hakuna hata moja,ya music ni hiyo moja tu Mtv inayopita nyimbo za kinigeria tooka asubuhi hadi kesho asubuhi! Kiukweli Azam Tv imekuwa Takataka!Yupo nguli Tido Mhando pamoja na kuwa mnamsakama na makesi ya kubambikia ili a loose focus...
Kifurushi cha 70,000 au 109,000Mkuu nataka ninunue Dstv kwa kweli,hii azam udini tu Hamna lolote, na pia hakuna kitu nisichokipenda kama tamithiliya za kutafasiliwa na movie za kutafasiiwa aisee, yaan ni kero na zinapoteza ladha, bongo movie zenyewe naona za waislamu tuu akina kipupwe, so sad kwa kweli,....
Hvi ni kifurushi gan cha DSTV ambacho ni reasonable naweza pata vitu kuntu kama latest action movie..?
kama una ndugu au mtu wa karibu ambaye yupo mbeya itakuwa rahisi sana kupata coz huko ndo vimejaa kama utitiri....tofaut n kwamba visimbuzi vya azam Malawi vina izo channel zote na gharama ya mauzo kama haijabadilika ni 90,000/=Tupe maufundi malipo yakoje hasa? Tofauti ya Malawi na bongo visimbuzi vikoje haswa na mnanunua wapi ni tsh ngapi tuchangamkie?
Za bongo bure? Au mpaka ulipie ndio uone mdau zile tano?kama una ndugu au mtu wa karibu ambaye yupo mbeya itakuwa rahisi sana kupata coz huko ndo vimejaa kama utitiri....tofaut n kwamba visimbuzi vya azam Malawi vina izo channel zote na gharama ya mauzo kama haijabadilika ni 90,000/=
Acha uzushi , mbona zipo zinaonekana.nyie ndo wale mnapenda kuchafua kazi za watuTulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!
Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!
Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!
Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
Ni ghali sana kuanzia 50+ cha bei ya chini kabisa ni 19 elfuMkuu nataka ninunue Dstv kwa kweli,hii azam udini tu Hamna lolote, na pia hakuna kitu nisichokipenda kama tamithiliya za kutafasiliwa na movie za kutafasiiwa aisee, yaan ni kero na zinapoteza ladha, bongo movie zenyewe naona za waislamu tuu akina kipupwe, so sad kwa kweli,....
Hvi ni kifurushi gan cha DSTV ambacho ni reasonable naweza pata vitu kuntu kama latest action movie..?