Azam Tv inapoteza mvuto

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
13,060
Reaction score
18,029
Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!

Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!

Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!

Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
 
Mbona hayo machannel ni ya burr ni kutega tu dish unayapata free
 
Waliondoa taarifa ya habari azam two wakaweka tamthilia ya sultan na nabii hamza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…