Azam TV inapeta, wengine wanachechemea

Ni Azam, wengine kuleeee ..maisha yangu nimewapa Azam Tv bila shida
 

tcra watupe sababu kwa nini hawapatikani kwa ving'amuzi vingine wkt ni watatnzania wenzetu. Na ikibidi na wao wafutiwe local channels zote wanazozipata.
 
Acha kuropoka usio yajua..wameonyesha live toka colloseum..kupitia alasiri lounge..usiropoke usio yajua

Asikusumbue mkuu,mbali na Alasir Lounge,muda huu wameunga live na kuonge na msemaji wa Chedema moja kwa moja,na pia Magdalena Sakaya alikuwa live AZAM TV studio.

Kwa Taarifa yake ni kwamba Mkutano wa UKAWA umevurugika,Profesa Lipumba ametoka na kuenda kwenye mkutano wa chama chake cha CUF ambapo kuna msuguano wa maamuzi ya kuachiana majimbo.

Na Mkutano wa UKAWA bado upo siri,ila AZAM Tv wapo pale muda wote in full live coverage.

AZAM TV habari nyingine kabisa,usiwapimie
 

Naoma news wameungana na mwanza live!
 
Kiukweli azam tv wako vizuri sana ila waangalie kitengo cha huduma kwa wateja (customer care) kwa kweli huku wale wapokea simu suala la weledi wa kuongea na mteja bado haujakaa sawa.
 
La Liga kuanzia August, hope soon ligi ya uingereza watatuwekea tu, hata wakituanzia na highlights za magoli ya ligi ya uk. tu zinatosha kwa sasa
 
Azam Tv wasipo integrate na local decoders zingine hawawezi kifika popote.
Hata Aljazeera, Cable News Network (CNN) na nyingine nyingi hazipatikani kupitia ving'amuzi vyao tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…