laprovidenza
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 329
- 172
Nashindwa kuwaelewa Azam TV, katika vipindi vya leo ilitarajiwa kuwepo na kipindi cha Funguka ambapo Tido angefanya mahojiano Dr Slaa. Lakini cha ajabu tangu saa tatu kamili zimewekwa katuni tu! Mbaya zaidi mtangazaji wa kipindi kilichopita ametuweka standby kuwa tusubiri kipindi cha funguka...Huu ni ubabaishaji wa dhahiri. kama kuna dharura mnatoa taarifa ya kuomba radhi. Hii ni aibu kwa chombo kikubwa kama hiki. Kuweni makini
ww unadhani kati tido na dr mihogo nani kakimbia?

Kwan hujui kama katuni tamu? zinatusahaulisha mambo ya siasa ,maana tumechoka sasa kwakua hamna namna nyngne sasa.Wameniudhi sana.....yaani hawatoi taarifa yoyote....ni makatuni tu yanaendelea.
ww unadhani kati tido na dr mihogo nani kakimbia?
Anasubiri file kutoka kwa Mwakyembe..