Azam pay tv, si waungwana

Serikali ikiwachukilia atua mnasema serikal inanyanyasa wafanyabiashara, wa Tanzania atujielewi yan mtu analalamika kama kalazimishwa kutumia Azam
 
Ngoja niwafahamisheni.
Azam tv, hana kibali cha kuonesha hii michuano ktk robo, nusu fainali na fainali. Yeye alkua na kibali cha kuonesha hatua za makundi tuu. Msiba umetokea tuu in between lkn sio sababu ya azam kusitisha matangazo ya afcon

KBC, RTV zinafungwa kila ukifika muda wa mechi, sio ishu ya azam. Kibali walichonacho mfano kbc, ni kuonesha michuano hii ndani ya Kenya, na hivo hivo kwa rtv kibali chao ni ndani ya rwanda pekee

Ingetokea na sie tbc yetu ina kibali cha kurusha, basi wakenya, waganda wasingeweza ona kupitia tbc. Sababu kibali kingekua ni cha ndan ya nchi.

Kosa la azam, ni hawakutuambia mapema, ya kwamba wataonesha mpaka makundi pekee
 
Ni kweli maana hata nisipolipia dstv chanel 207 inabaki na afcon nachek fresh tu.

Hapa Azam wamezingua sana aisee.
Kama una uwezo wa kupata kbc na rtv Basi kifurushi chako kinakuruhusu kuona 207, 210, 209 mpira wa afcon unapoosheshwa. Tatizo la azam wamekata kbc na rtv ili ulipie Cha 28 na hawajampa mbadala yule mteja wao aliyelipa 10
 
Tatizo liko kwa Azam...hawakutupatia taarifa sahihi kuhusu utaratibu wa kuonyesha Afcon, na hata walipokata wakakaa kimya..Ndio maana watu wamekuwa na majibu mengi yakuhisi tu.
 
Kila huduma hujajiunga kuna kauli hii,vigezo na mashart kuzingatiwa ulikua makini nalo hilo? Usilaumu tu tuwe makini.
 
Jambo usilolijua ni kama usk wa giza!! Watu wanalalamika tu bila kujua leseni ya Azam kuonesha AFCON inasemaje!! KBC,UBC sijui Rwanda Tv zote zina leseni ya kuonesha mechi ndani ya mipaka ya nchi zao!
 
Baada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?
Kwa wewe bidada kuna maisha magic bongo itakufaa pia maisha magic East wanjitahidi sana wale wakenya wana tamthilia nzuri sana.Kama ni mpenzi wa Hollywood sometimes wanaonyesha movies za miaka ya hivi karibuni na ni nzuri sana.
Kuna documentary channel if you are interested with
 
Umeelekweka mkuu....Kosa la Azam ni kutokuwa wakweli kwa wateja wao Sisi wateja Dstv tunatekeleza tu.
 
kifupi azam ni wase.nge


over
 
Hakuna kitu kama hicho,huyo jamaa atakua wakala wa DSTV. Ukilipia hio 19 elfu unapata bonasi ya wiki moja channel za mpira,baada ya hapo hupati hizo channel,zinabaki chache zisizo na mpira wa kusisimua
Baada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?
 
Hakuna kitu kama hicho,huyo jamaa atakua wakala wa DSTV. Ukilipia hio 19 elfu unapata bonasi ya wiki moja channel za mpira,baada ya hapo hupati hizo channel,zinabaki chache zisizo na mpira wa kusisimua
Heeee. Kuumbe. Hata hanipati rafiki nabakia zangu huku huku Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…