Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,290
- 5,769
Hapa nyumbani tunatatizo la TV Ambazo hazina uwezo wa kuwa na mineral mingi....
kwa azam kutumia satellite wapo kwenye nafasi nzuri ya kuteka soko....
na wakiweza kupata channel inayo onesha mipira ya ulaya mbona watakuwa wameteka soko la TV...
tatizo....hawajitangazi....
hamuwezi kutegemea radio yenu kujitangaza wakati mnajua inashikika mikoa michache...
hata roho inaniuma mlivyo na soko Zuri ila mnashindwa kuwasiliana na wateja