Azam akichezea leo siku za kutangaza u'bingwa mapema zinazidi kurudi nyuma....enyi Vijana wa Mkwasa tandika hao wauza "Vi'joti" bao 1 - 0 wajue hata kule kwenye mashindano ya Africa ushindi wanaoupata ni ksbb wanakutana na team vibonde tu.
Ndetichia anajinadi kuwa ni Azam damu wakati kwenye uzi unaomuhusu haonekani kakimbilia fedhea ya Kirumba. Kaazi kwelikweli, jaribu kuwa na kumbukumbu ili tushawisiike kukuamini.