Azam FC nayo iruhusiwe kushiriki 'bonanza ' kama hizi

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, mtakumbuka timu ya Azam ilipata kushiriki ' bonanza ' kama hizi huko Uganda na Zambia.
Wakubwa, Yanga na Simba, wakalalamika na kwa kuwa wanasikilizwa na TFF Azam FC ikapigwa marufuku. Na dhani sasa ni mida muafaka hawa Azam wakaruhusiwa kushiriki 'bonanza' zitakazo washirikisha kama Yanga na Simba kwenye ' Sports Pesa '.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli Azam hataki kuonyesha na kushiriki mashindano yanayodhaminiwa na kamari ( SportPesa Cup) basi ajue anajidanganya mwenyewe kwa sababu zifuatazo:

1. Mashindano ya Caf Champions League/ Confederations Cup yanadhaminiwa na 1XBet ambayo pia ni kampuni ya kamari kama ilivyo SportPesa. Azam tv wanaonyesha mashindano hayo live.

2. Timu ya Azam FC pia huwa inashiriki mashindano ya Caf ( yanayodhaminiwa na 1xBet)

Sasa sioni tofauti yoyote hapo kwenye Uharamu.

Soccer ni mchezo halali tatizo shetani anaingia kwenye huu mchezo kupitia kamari.

Azam haitaki pesa iliyopatikana kwa njia haramu

Azam hafungamani na kamari ndo mana hata haionyeshi hiyo michuano ya sportpesa
 
Kama ni kweli Azam hataki kuonyesha na kushiriki mashindano yanayodhaminiwa na kamari ( SportPesa Cup) basi ajue anajidanganya mwenyewe kwa sababu zifuatazo:

1. Mashindano ya Caf Champions League/ Confederations Cup yanadhaminiwa na 1XBet ambayo pia ni kampuni ya kamari kama ilivyo SportPesa. Azam tv wanaonyesha mashindano hayo live.

2. Timu ya Azam FC pia huwa inashiriki mashindano ya Caf ( yanayodhaminiwa na 1xBet)

Sasa sioni tofauti yoyote hapo kwenye Uharamu.

Soccer ni mchezo halali tatizo shetani anaingia kwenye huu mchezo kupitia kamari.
1xBet really? Hapana ni Total, fuatilia kwa umakini.
 
Back
Top Bottom