AZAM Apps

skydmx

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2010
Posts
229
Reaction score
96
Natumaini wadau hamjambo-
wengine tupo nnje ya nchi na hua tunatumia sana azam application kutizama program za kiswahili pia na habari za nyumbani ila kwa sasa tunaona matangazo tu leo siku kama ya nne.
je kuna taarifa zozote kwanini zimekatwa?
nashukuru sana
 
Mbona ziko hewani mkuu
 
Hawa watu ni janga kwa nchi yetu utashangaa siku ya mechi mhimu kama ya taifa stars au hata ligi kuu ikifika mda wa mechi chanel inayoonyesha mpira wanaitoa kweny application ili watanzania tusione kupitia simu yaani wanatulazimisha wote tuangalie kweny tv mda mwingine mtu uko kazini au ofiisini unataka uangalie mpira kweny simu umejiandaa kabjsana bando lakini ukiingia unakuta wametoa chanel onyoonyesha mechi husika mpka mechi ikiisha ndo wana rudisha chanel kweny app

sasa mi najiuliza hivi kuna maana gani ya kuwa li application lenu kweny cm kama mnatufanyia uhuni huu kama ipo ipo tu tiachieni tuangalie mipira kweny application ya na kama ni mapato mtapata tu acheni izandiki kuweni wazalendo.
 
Acha uongo mkuu mimi mwenyewe najaribu leo ni siku kama ya 5 hamna kitu hazifunguki na wanakuandikia kuwa wapo kweny marekebisho sasa we umeona wapi
Mbona ziko hewani mkuu
 
Yaani bado mnahangaika na hawa wahuni wa azam mimi nishafuta liapp lao zamani
 
Tumia POA tv
 

hii app yao nimeshaifuta kitambo tu kwa sababu ya ishu hiyo
 
Aisee imenigusa sana hii ilinikuta niko nje ya nchi niliudhika sana hadi nikaifutilia mbali hadi leo sikujua huwa na maana gani ya uwepo wao Goole store
 
wangefanya kama package za nnchi zingine unalipia kidogo unatizama ktk simu--- sasa wenyewe wanataka tununue decoder wakati wengine tupo huku india hata signal hatupati... fanyeni maendeleo jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…