Salute comrades
Sasa yapata wiki kila nikiingia ktk AZAM APP nishuhudia vitu vya hovyo kabisa, unaingia Azam two unasikia kipindi kinaendelea lakini picha/ watu hawaonekani, vivyo hivyo channel zote zilizopo kwenye hii application
Je hili tatizo lipo kwangu tu? Au wengine mnakutana nalo?
Naomba uongozi/ management yote ya Uhai studio mshughulikie tatizo hili maana mnatutesa wateja wenu...tunashindwa kufatilia vipindi mbalimbali maana wengine tupo mbali na nyumba zetu,familia au sehem za kustsrehe Kama vile bar ili kupata burudani za mpira!!
Afcon tunajua mtaonyesha hivyo tunaomba Sana mlitatue hili tatizo ili kutusaidia watu tunaotumia Azam App!!
** Mzalendo halisi nikiwa porini**