Hata mimi nashangaaKUNA MIDUME INAPENDA UKWAJU DUUUU
mwanaume anatakiwa kulalamika ugari umekuwa mlaini.kwa nini maharage yanaongezwa viungo vya mboga.yani huyu katufanya JF tukikoment tunaonekana wanawake humuHata mimi nashangaa
Ndio maana sasa hivi wanawake wengi wanalalamika wanaume hamna kitu kitandani
Sasa dume linakula Ashkirimu kuna mwanaume hapo?
we hupo jinsia gani hapaKaribu Tanzania ambapo mtu kunyonya Azam Ice Cream anaonekana ni mshamba ila anayenyonya kipochi manyonya ni rijali!
Wap Nmesema n ushamb? Mm nmeuliza tuu hua unajisikiaje ukiwa unainyonya? Maybe n tamu sana mpaka unafumba macho ukiwa unainyonyaKaribu Tanzania ambapo mtu kunyonya Azam Ice Cream anaonekana ni mshamba ila anayenyonya kipochi manyonya ni rijali!
Sahihimwanaume anatakiwa kulalamika ugari umekuwa mlaini.kwa nini maharage yanaongezwa viungo vya mboga.yani huyu katufanya JF tukikoment tunaonekana wanawake humu