kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Achana naye huyo muuza ukwaju stand mpy ya GongolambotoHivi na wewe umeajiriwa Azam?Au ndo nyie wauza ukwaju?
ππππ Ishia hapo hapoWaombe wakuonyeshe nala Mukoko basi
Muuza ukwaju utamjua tuuNjoo maktaba hatufanyii kazi Kila upuuzi.
Taarifa zenu za kipigo mlichokipata asubuhi tunazo. Mnakuja kupoza machungu humu.Je imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty?
Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki
Simba hajacheza na MTU yeyote hizo ni fake newsWaambie pia waonyeshe game ya green worries mlocheza nao asubuhi.
Waambie pia waonyeshe game ya green worries mlocheza nao asubuhi.
Mzee wewe ndio wa kwenda shule,green warriors huijui ni timu gani kweli,while mwaka juzi waliwatia kimoko pale taifa na kuwatoa kwenye kombe la faMkiambiwa muende shule mnakuwa wabishi sana. Green Worries ni team gani?
Mzee wewe ndio wa kwenda shule,green warriors huijui ni timu gani kweli,while mwaka juzi waliwatia kimoko pale taifa na kuwatoa kwenye kombe la fa
We mkia mbona una hasira sana?Shule muhimu sana. Lecturer wangu mmoja alishawahi kusema wasio na elimu utawaona tu hata wanachoandika. Mhusika kaandika green worries wewe unaandika yako. Mkiambiwa elimu ndiyo ufunguo wa kuelewa hamsikii. Unasoma na bado huelewi. Unaandika kitu kingine na mwenzio kaandika kingine.sisi wenye akili tunagundua vitu ambavyo nyie vilaza hamvioni.
We mkia mbona una hasira sana?
Tangia Simba waanze kuongozwa na Bar ya Bara wameiga mifumo ya jinsia ingine ikiwemo kufuatilia kila siku maisha ya jirani yake!Je, imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty?
Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki