Azaki Gamba,Afariki dunia

Nkonzi JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
324
Reaction score
195
Mtanangazaji wa DW amefariki dunia leo nyumbani kwake BONE ujerumani, alikokuwa akifanya kazi ya utangazaji. MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA
 
Daah base lake lilikuaga lipo vizuri sana haswa akijiitaga Isaac Muyanji Gamba, nakumbuka world cup gani sijui UEFA ile aliendaga uwanja wa Allianz Arena Ujerumani akasemaga wajerumani wabaguzi sana kuna watu wamezaliwa hawajawahi kuona mtu mweusi hivyo wanakufuta futa angalau uwe kama waodaah
 
R.I.P I saac Muyenjwa Gamba kweli hii dunia sis tu wapitaji.
Nakumbukia radio one miaka hiyo nikiwa shule ya msingi.
R.I.P Isaac Gamba pumzika mahala pema peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…