Subiri siku ya kiyama uulizwe ulichokisema hapo, mtume Mohammad utamjibu nini wewe? kwani kule Kerbala ni nani mahali pake kuzikwa? kama sio mjukuu wake?
Tatizo ni kutokusoma historia na vilevile vitabu vingi vya kisunni pia ambazo zina ukweli wa familia ya mtume Mohammad (S.A.W)..
Tumia akili yako binafsi aliyekujalia mungu, kwani sisi sote tutaajibika kutokutafuta ukweli.. sio jibu zote ziko kwa mashehe, kama umeelewa hata kidogo hapo, hutakimbilia kunijibu kiaina, kitu ambacho najua asilimia 99 utakifanya tu..